Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
32
Reaction score
125
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
 
Mdogo wangu kama una akili shika maneno yangu haya HUYU NDIO MKE BORA KWAKO!

Sikuombei mabaya ila mkamate huyo Dada uishi maisha ya Amani duniani.

Sasa mpige chini huyo alafu baada ya miaka 2 utuletee uzi kusema 'wale tuliokuwa na mademu wanatupenda kwa dhati na kutuheshimu tukawadharau tukawapiga chini sasa tumenasa kwa mademu wakorofi tukutane hapa'
 
Mi mwenyewe mwezi mmoja uliopita nilizoeana na dada mmoja naefanya nae kazi taasisi moja ila mikoa tofauti kulikua na semina ndo ilikua mara yangu ya kwanza kukutana nae sahivi kila siku kabla sijalala lazima anitumie meseji " Usiku mwema Darling" huwa najibu "fresh na kwako pia" maana mi ni mgumu mapenzi yamenipitia pembeni sana.

Jana kaniambia eti anajikuta ananiwaza sana kila saa mi nikamjibu "usiwaze"
Naogopa kumuwashia green light asije kuniganda bure alafu nikam-disappoint.
Maana mi sipendeki nikipendwa sana naona nasumbuliwa natafuta njia ya kurudi singo.
 
Mdogo wangu kama una akili shika maneno yangu haya HUYU NDIO MKE BORA KWAKO!

Sikuombei mabaya ila mkamate huyo Dada uishi maisha ya Amani duniani.

Sasa mpige chini huyo alafu baada ya miaka 2 utuletee uzi kusema 'wale tuliokuwa na mademu wanatupenda kwa dhati na kutuheshimu tukawadharau tukawapiga chini sasa tumenasa kwa mademu wakorofi tukutane hapa'
Ongezea nyama kidogo mkuu
 
Huyo mjinga hawajui wife material, muache akutane na “kausha damu’ tuliovurugwa ndio atajua hajui 😹😹😹
 
Back
Top Bottom