Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Mle 0713
 
Ndivyo walivyo!
Umenikumbusha mbali!!

Kinachokusumbua ni roho Yako kuwa dhaifu wakati ya kwake ni very strong"elewa neno strong"halafu Huwa Wana support ya nature hao viumbe!!

Trust me utashindwa kumwacha!!anataka uhusiano wa kudumu hasta ndoa kabisaaa!!!

Kosea umpe mimba sasa utajua hujui!!!

Hai ni wife materials kabisa lakini"wanakusaliti secondary stage,japo sio kingono"!!!

Mwambie ukweli TU"Tuishie hapa,sioni future yangu mi nawewe"! Halafu uone moyo utaoavyokuuma hadi utashindwa kulala utakua unaamka usiku!!

Wabena wanajua kuganda !!!
Type kisa chako mkuu
 
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Duuh asee
 
Back
Top Bottom