Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Kama amekuganda kasimame juani au kakae karibu na moto atayeyuka tu, au kama vipi tafuta watu wakubandue
 
Mdogo wangu kama una akili shika maneno yangu haya HUYU NDIO MKE BORA KWAKO!

Sikuombei mabaya ila mkamate huyo Dada uishi maisha ya Amani duniani.

Sasa mpige chini huyo alafu baada ya miaka 2 utuletee uzi kusema 'wale tuliokuwa na mademu wanatupenda kwa dhati na kutuheshimu tukawadharau tukawapiga chini sasa tumenasa kwa mademu wakorofi tukutane hapa'
Bro upo sawa ndio maana mimi nimeng'ang'ana na ephen_
 
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Haki ukimuacha huyo shangazi utarogwa! Chezea wabena ww huogopi? Hili kabila wanajua kupenda na ni wavumilivu, ila Sasa mwanamke kakuzidi umri , pambana na Hali Yako, kama humtaki mwambie sikutaki au mblock
 
Sitisha kabisa mawasiliano naye. Njia nyepesi ya kuachana ni kusitisha mawasiliano, baaassiiii
 
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Elfu tano ndo nini aat, bado unakupiga hela huyo
 
Back
Top Bottom