Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Mdogo wangu kama una akili shika maneno yangu haya HUYU NDIO MKE BORA KWAKO!

Sikuombei mabaya ila mkamate huyo Dada uishi maisha ya Amani duniani.

Sasa mpige chini huyo alafu baada ya miaka 2 utuletee uzi kusema 'wale tuliokuwa na mademu wanatupenda kwa dhati na kutuheshimu tukawadharau tukawapiga chini sasa tumenasa kwa mademu wakorofi tukutane hapa'
Hakika
 
Unajiamini nini kuichapia kwake, unajua nani analipa kodi??

Usirudie hii kitu kwa usalama wako.
 
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Anatarko kwanza??
 
Back
Top Bottom