Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Mwambie wewe ni shoga, afu mtumie na hii........


 
Mungu anakupa dhahabu wewd unataka fedha!
Anakupa shamba una kwenda kununua mahindi na mchele..
Ama kweli kwenye wajenzi hakuna wajenzi...
Kilaza mkubwa wahedi..
 
Wakuu poleni na majukumu.

Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu akawa ananichek mara Kwa mara.

Mimi nikaona nisikae kizembe nikatia vocal akaeleweka nikawa naichapa papuchi getoni kwake ila kwangu hapajui sijawah mpeleka sasa hivi natafta sababu za kuachana naye kaniganda kinoma.

Kuna muda simpigii simu hata zaidi ya wiki na yeye apigi nafurahi najua kajiongeza ila yeye ananipigia ananiomba msamaha hata hajakosea ndo nakuwa njia panda.

Haniombagi hata Hela wazee Hela kubwa akiomba haizidi 5000. Yeye ni mbena ila nishamchoka.

JE NIFANYAJE NIMUACHE ILA ASIJISIKIE VIBAYA?

(Mimi sio mtaaluma wa kuandika wakuu kama nimekosea mpangilio🙏)
Haihitaji siasa, mwambie humhitaji, kwan shida nini? Just say to her that it is over and to all of the future
 
Nilimwambia tuko mbali mbali sana akasema ye yuko tayari kuja muda wowote nikitaka aje ikabidi nikate hiyo stori nikaanza kumuuliza "vipi mvua huko zinanyesha?"
Daah..nmepata pacha angu...ila haya yote yamefanya sipati wa maana ...kiuhalisia kama mwanamke ana dalili za kukuelewa hata kwa asilimia 50 rukq nae tu na uoe kabisa..the word can't mess up with a broke men
 
Back
Top Bottom