Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.