Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

Unazungumzia matokeo ya Aina Gani

Maana Kuna matokeo ya kuitwa kazini au matokeo ya kufaulu written
 
Kwa hiyo kumbe kuna namna ya kupokea matokeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee Umetisha sana
 
Kweli aisee,kuna mwanangu mmoja alifanya interview kibao za utumishi sita chache sana leo yupo bot anakula maisha
Huyo jamaa ana bahati sana vitengo vya watoto wa wakubwa
 
Back
Top Bottom