Naomba mbinu za kumkamata mchawi

Naomba mbinu za kumkamata mchawi

Sikia kijana, kamata paka na umuoshe uso. Maji Yale yakinge unaweza wew usoni. Kisha chukua fimbo ya kioande cha mti wa muhogo ifiche kiunoni. Utamuona laiv... Na Kwa sabab ana vitimbi ataanza kukatika viuno na kukusiginia. Mchape na fimbo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daa hatari hiyo unaweza shituka watu wamejaa chumbani ha ha ha ha
 
Mwaga maji ndoo tatu kwenye godoro lako,usilale na nguo,chukua ndimu choma na sindano 40 weka chini ya mto utamuona
 
Chukua maji weka chumvi ya mawe, ukikosa weka ya kawaida na ukamulie ndimu kisha mwaga mlangoni na dirishani
 
Nenda kwa Kuhani Musa chukua kifaa Cha kiroho Cha maji ya mfuniko mweupe. .

Mwaga nyumba nzima ukiwa unaomba kwa Imani ya jina la YESU...

Atasema yeye mwenyewe kua ni mchawi ..
Huyo Musa anawapa nini? Mbona kawashika akili zenu kirahisi sana?
 
Back
Top Bottom