Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mpigie Yesu makofi.Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpigie Yesu makofi.Amina
Sijui kwanini nimecheka jamani dah🤣🤣🤣🤣🤣Sawa, imani yako imekuponya.
Kuna mtaalam amesema umchape bakora kwa mti was mhogo. Bado tunasubiri afunguke baada ya kumchapa nini kitatokeaTukio linalofuatia ni nini baada ya kumuona mchawi?
Kumkamata.How?
Kumkimbiza, how?
Kumpiga, how?
Kupiga kelele. Je majirani watasikia?
Au kushangaa tu mpaka asubuhi?
Mweeeeeemweee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wahasibu wake hawa mkuuHuyo Musa anawapa nini? Mbona kawashika akili zenu kirahisi sana?