Naomba Mchango wenu wa mawazo kwenye hili jambo

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Za saizi wakuu!

Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.

Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF wala NHIF,na mfumo wake wa kazi ni mbovu kwa ujumla.

Sasa hii kazi mpya yenyewe kwanza ni mkoani na mwajiri ni kampuni ambayo imenyooka wanalipa NSSF,NHIF na benefits zingine kama airtime na transport.

So niko dilemma, niache huku nilipo au niende kwa hii kazi mpya niliyopata?

Karibuni kwa ushauri.
 
Kimbia hapo kwenye 1m.
I have seen umuhimu wa hyo mifuko. Kwangu kwanza, na baada ya kifo cha mshua, alikua mtu wa kawaida ila tulivuna mamilioni kwenye mifuko plus benefits kama kusomesha watoto and all that.
 
Za saizi wakuu!

Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.

Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF wala NHIF,na mfumo wake wa kazi ni mbovu kwa ujumla.

Sasa hii kazi mpya yenyewe kwanza ni mkoani na mwajiri ni kampuni ambayo imenyooka wanalipa NSSF,NHIF na benefits zingine kama airtime na transport.

So niko dilemma, niache huku nilipo au niende kwa hii kazi mpya niliyopata?

Karibuni kwa ushauri.
Okey fine, mimi ushauri wangu utakuwa tofauti kidogo: mimi kama ni wewe kwa kuwa nafahamu tofauti ni 200k tu, then maswali ya kwanza ya msingi kabla sijafanya uamuzi ni haya yafuatayo:

1. Je mkataba wa kazi huko uendako na wa hapa unatofauti, i means job security ya muda mfupi ipo?
2. Je ukiachana na mshahara wa 1.mil unaoupata sasa, kuna marupurupu au vidili vingine unavipata hapo kazini kwa sasa vinakuingia chochote?
3. Je ukiachana na kazi hii ya 1.2 utapata muda wa kufanya mambo mengine personal ambayo yananiingizia kipato?- (Time is very important aisee kuliko fedha)
4. je huko uendako/au kazi mpya itakupa-exposure considering ni mkoani na hapa Dar kama unavyojua unaweza ukatembea barabarani ukakutaa na opportunity

So kijana fikiria sana hayo juu,..........

habari za NSSF sijui ni pata potea aisee, kijana una miaka 26 ukianza kuwaza NSSF!!! utapotea aisee, NSSF anza kuwaza ukifika mika 40. Pia NHIF ifikirie sana kama unfamilia lakini kama uko peke yako pia nayo isiwe kipaumbele sana unaweza kati bima ya 200k ile mambo yakaisha
 
Za saizi wakuu!

Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.

Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF wala NHIF,na mfumo wake wa kazi ni mbovu kwa ujumla.

Sasa hii kazi mpya yenyewe kwanza ni mkoani na mwajiri ni kampuni ambayo imenyooka wanalipa NSSF,NHIF na benefits zingine kama airtime na transport.

So niko dilemma, niache huku nilipo au niende kwa hii kazi mpya niliyopata?

Karibuni kwa ushauri.
Kwa sasa tumpeni LISSU nafasi . Freeman mbowe. Apumzike na yeye ameshafanya makubwa mono kwenye chana
 
Mkuu,
Rudi kwenye lengo lako au sababu ya nini kilikufanya hata ukaenda kufanya interview kwingine ilihali una kazi tayari,

Ukishajua unapaswa kukumbuka mwisho wa siku ni wewe ndio mwenye kuyashuhudia matokeo yeyote utakayoyaamua kwa sababu umeyaishi vema mazingira yako na unajua mazuri na mabaya yake.

Muhimu pima kwa kina MWENYEWE na kuwa tayari kwa lolote litakalotokea,
 
Back
Top Bottom