Za saizi wakuu!
Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.
Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF wala NHIF,na mfumo wake wa kazi ni mbovu kwa ujumla.
Sasa hii kazi mpya yenyewe kwanza ni mkoani na mwajiri ni kampuni ambayo imenyooka wanalipa NSSF,NHIF na benefits zingine kama airtime na transport.
So niko dilemma, niache huku nilipo au niende kwa hii kazi mpya niliyopata?
Karibuni kwa ushauri.