Naomba mkopo wa milioni 1,000,000/= Nitazirejesha

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa wajumbe humu ndani wenye kuwa na Moyo, niazimeni kiasi cha shilingi milioni moja.
Lengo la kupata kiasi hicho cha pesa ni kuongezea kwenye mtaji wangu wa biashara.
Kwa kifupi nina biashara ya duka/kiosk ambapo ninaendesha. Nina wateja wengi lakini variety ya bidhaa zipo chache kutokana na mtaji nilio nao. Nimejitahidi kuukuza mtaji kutoka 250,000 hadi above 30mln kwa muda wa 15 yrs hii ni inclusive asset nilizonazo kama nyumba, gari nk
Sasa hapa nilipo biashara inaendelea lakini kuna vitu vinahitajika hapa dukani ila cash ya kuvinunua sina. Sijawahi kukopa ku run biashara. Ila sasa ivi nataka ku inject pesa kutoka nje. Kama kuna mtu yupo radhi, mwenye moyo naomba mniazime some cash. Hata kwa contribution. Naahidi kuzirejesha with time ila sio kwa riba. Kama mpo radhi ndugu zangu naomba tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.
 
Kuna taasisi za fedha zinatoa mkopo ukiwa na dhamana ya gari. Si uweke upate mkopo. Mbona kujidhalilisha. Nani atakukopa hivihivi tuu tena mkutanie mitandaoni.
 
Huwezi kutambua hata sauti za kiume na za kike mkuu?
Kama ni mwanamke hewala ila kama ni kidume alafu unataka kukopeshwa miliyoo kirahisirahisi hivyo nakupa tahadhari tu kuwa hali ya nchi sio salama kwa wakati huu shauri yako.
 
Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.


Plate namba??? C au D imetembea km ngapi?

Mil 5 mpka 6 kwa kirikuu ni sawa.

Mpya 8,500,000 ikizidi sana 9,000,000.
 
Kwa ninii asingeuza gari akaingiza hela yote kwenye biashara
inawezekana gari inamsaidia katika shughuli zake za kila siku, hivyo basi kumshauri kuuza gari itakuwa ni kumrudisha nyuma ndugu yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…