sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa wajumbe humu ndani wenye kuwa na Moyo, niazimeni kiasi cha shilingi milioni moja.
Lengo la kupata kiasi hicho cha pesa ni kuongezea kwenye mtaji wangu wa biashara.
Kwa kifupi nina biashara ya duka/kiosk ambapo ninaendesha. Nina wateja wengi lakini variety ya bidhaa zipo chache kutokana na mtaji nilio nao. Nimejitahidi kuukuza mtaji kutoka 250,000 hadi above 30mln kwa muda wa 15 yrs hii ni inclusive asset nilizonazo kama nyumba, gari nk
Sasa hapa nilipo biashara inaendelea lakini kuna vitu vinahitajika hapa dukani ila cash ya kuvinunua sina. Sijawahi kukopa ku run biashara. Ila sasa ivi nataka ku inject pesa kutoka nje. Kama kuna mtu yupo radhi, mwenye moyo naomba mniazime some cash. Hata kwa contribution. Naahidi kuzirejesha with time ila sio kwa riba. Kama mpo radhi ndugu zangu naomba tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.