Naomba mkopo wa milioni 1,000,000/= Nitazirejesha

hapa kuna halufu za utapeli..... yan una assets za 30m afu uhangaike kias hiki kupata 1m?!!!!collateral securities unazo kwann usijalibu katika taasisi rasmi za mikopo....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipata ntakuongezea laki mbili
 
Baadhi ya Watu wanauliza kama wanazo vile hizo za kumkopesha mleta mada...wengine wanainjoi tu
 
Kama ni mwanamke hewala ila kama ni kidume alafu unataka kukopeshwa miliyoo kirahisirahisi hivyo nakupa tahadhari tu kuwa hali ya nchi sio salama kwa wakati huu shauri yako.
Kwa comment hii na mindset hii hata kama unayo hio hela bora uzichome moto
 
wakuu samahanin san <br />naomba mtu au watu amabo wanauzoefu na biashara ya vifaa vya simu(phone accessories) kutoka kenya au Zanzibar kwa bei ya jumla vifaa hvyo ni km vile mics,system chargers, screen touches, glass protectors, earphones, phone covers,chargers,USB cables,carbons, speakers, motherboard,memory cards, flash, battery, nk. nahitaji kujua bei ya jumla kwa hayo maeneo mawili(kenya na zanzibar) na wapi ni nafuu zaid na maeneo ambayo ni dominant kwa kuuza hvyo vifaa kwa bei ya jumla msaada plzzz wakuu<br /> cont: +255769939879<br />whatsapp na voice call online 24/7
 
Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.
Kumbe kajeuri ww!!... Huuzii njaaa na hapa unalia lia na unataka million moja tena hutaki riba...Bureeeee kabisa .....huyo mtu cjui awe baba yako mzazi....Yaan mtu akupe hela yake ikae tu tena bila kunufaika ye hana kazi nayo au!!??....Hata bakheresa naamin hana hela ya hivo!!...ebu kajaribu kwa mashehe au kanisani wanaweza wakawa na huo moyo safiii[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]
 
Nenda saccos ya jirani
 
Ukikosa wa kukukopesha bila riba karibu ofisini kwetu tukukopeshe kwa riba utarejesha kila mwezi kidogo kidogo
 
Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.
Kumbe huna njaa basi na mkopo hupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…