Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa

Status
Not open for further replies.
duuu 20 elufu unakujakopa humu??? sio kweli. Huna hata kikoba, majirani je? hata kama huna kitu humu sio sehemu ya kuja kujidhalilisha. hawatakupa hata kidogo usiharibu siku yako kwa majibu yao. tafuta njia nyingine
Asante kwa ushauri mkuu. Naelewa unachomaanisha. Kuomba si jambo la kujivunia, lakini wakati mwingine hali humfanya mtu ajaribu kila njia iliyo ndani ya mipaka ya heshima. Nikipata nitashukuru, nisipopata nitaendelea kutafuta njia nyingine. Asante kwa kunitakia mema.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…