Usithubutu mkuu unautafuta umasikini wa kudumuHuwa sifatilii sana haya mambo ila kunakitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema. Je kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Una hamu ya kuvuliwa ubingwa na weweMpe namba yangu anitumie tuone
Hakuibii Ila wewe ndio nyota ya mchezo kwake, akikupa 1K anaingiza 5K+Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.
Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Nyota yako ikitumiwa unakua fukara sema nini huyo jamaa muulize yeye anazipataje hela zake atakufunulia siri,kuna yule bwana wa Morogoro alieingizaa hivi hivi pasipo juwaHuwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.
Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Si ndiyo🤣🤣Hakuibii Ila wewe ndio nyota ya mchezo kwake, akikupa 1K anaingiza 5K+
Chunguza utaona! Demu sura ya baba shepu ya baunsa lakini kuna mshkaji hamuachi😂Si ndiyo🤣🤣
Kwahiyo jamaa anabet kama gal sport😝😝😝😝😝Hakuibii Ila wewe ndio nyota ya mchezo kwake, akikupa 1K anaingiza 5K+
👹👹👹Chunguza utaona! Demu sura ya baba shepu ya baunsa lakini kuna mshkaji hamuachi😂
Case study mke wa Gwaji boy😀
😆😆😆Mshana ina maana jamaa nyota yake inatumikaChunguza utaona! Demu sura ya baba shepu ya baunsa lakini kuna mshkaji hamuachi😂
Case study mke wa Gwaji boy😀
At the end you need cash😂Kwahiyo jamaa anabet kama gal sport😝😝😝😝😝
Nitafafanua niko mahali naufutahisha mwili😋 naushukuru😆😆😆Mshana ina maana jamaa nyota yake inatumika
Poa mkuu🤣🤣Nitafafanua niko mahali naufutahisha mwili😋 naushukuru