Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

anakupa sababu ulishatuambiaga ww n mzuri"
 
Kiufupi ukitoa pesa Kwa moyo mweupe uliyempa akiifanyia kazi anapata zaidi,,,,,pia ukitoa uliyempa akishukuru Kwa kumaanisha wewe unapata zaidi

Pia kinyume Cha maelezo hayo ni kukosa,,,,,Sasa apo ni mambo ya kunuiziana mambo ya kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…