Naomba mnifahamishe kazi kuu ya hiki kifaa na bei yake pia madukani

Naomba mnifahamishe kazi kuu ya hiki kifaa na bei yake pia madukani

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu hiki kifaa naomba kujua kazi yake kuuna bei yake pia ikiwezekana..

Naweza kuipata maduka gani?

download.jpeg
 
Mkuu Sasa mbona hujanitoa ushamba kidogo.. nataka nifahami matumizi yake kimtindo
Utakuwa uancho unauza maana huwezi kutaka kununua kitu usichojua matumizi yake 😀😀.
Nimekwambia ni wireless router kwa ajili ya kuconnect vifaa vyake na internet
 
Utakuwa uancho unauza maana huwezi kutaka kununua kitu usichojua matumizi yake 😀😀.
Nimekwambia ni wireless router kwa ajili ya kuconnect vifaa vyake na internet
Kuna jamaa hapa kaniachia kitaa, So bado Sina taaluma nacho
 
Mkuu, unauhakika haujui utakipata maduka gani kifaa hiki? unajua kusoma na kuandika? Usituchoshe, muulize huyo jamaa aliyekuachia alikokipata bila shaka hata bei atakutajia. Ijumaa kuu njema.
[emoji817]
JamiiForums1259106166.jpg
 
Back
Top Bottom