Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

Dance Macabre

Member
Joined
May 6, 2024
Posts
32
Reaction score
61
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?

Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
 
Karibu sana mzee, ni rahisi kuliko unavyofikiria. Nakushauri fanya hivi:

1. Anza kwanza kusoma mwenyewe online au kuuliza watu basics. Hii itasaidia utakavyoanza kufundishwa practically at least ujue ata breki ipo wapi

2. Jifunze sheria za barabarani kwa kuwaangalia madereva wanavyofanya au ata ukikaa mataa pale dk 20 utajifunza kitu.

3. Na mwisho, tafuta pesa ufundishwe na professional. Wale wamejua kukupa mwongozo, kufundishwa na mtu ambae ni dereva ila sio mwalimu lawama tu. Mfano, mi nilijaribu kumfundisha mtu nikaishia kumtukana tu maana anarudia kosa ilo ilo mara nyingi na yeye akasusa kwasababu mi sipo gentle.

Nashauri tafuta 200k uende driving school tu, haichukui zaidi ya week 4. Utajifunza theory na barabarani.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Mkuu hakuna haja ya kuzunguka Sana.. mwambie aende Tu kusoma kwenye kilicho karibu yake na Ada yake ni kama Tsh 200,000.
Maisha ya Leo bila kwenda shule ni kujidanganya Tu, kuna alama na Sheria mbalimbali za usalama barabarani lazima uende kusoma na sio mtaani
 
Karibu sana mzee, ni rahisi kuliko unavyofikiria. Nakushauri fanya hivi:

1. Anza kwanza kusoma mwenyewe online au kuuliza watu basics. Hii itasaidia utakavyoanza kufundishwa practically at least ujue ata breki ipo wapi

2. Jifunze sheria za barabarani kwa kuwaangalia madereva wanavyofanya au ata ukikaa mataa pale dk 20 utajifunza kitu.

3. Na mwisho, tafuta pesa ufundishwe na professional. Wale wamejua kukupa mwongozo, kufundishwa na mtu ambae ni dereva ila sio mwalimu lawama tu. Mfano, mi nilijaribu kumfundisha mtu nikaishia kumtukana tu maana anarudia kosa ilo ilo mara nyingi na yeye akasusa kwasababu mi sipo gentle.

Nashauri tafuta 200k uende driving school tu, haichukui zaidi ya week 4. Utajifunza theory na barabarani.
Bro una gubu unamtukana mtu kisa kasahau kutoa handbrake brother jitathmini..
 
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?

Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
 
Attachments

Back
Top Bottom