Dance Macabre
Member
- May 6, 2024
- 32
- 61
Shukrani sana mkuu.Karibu sana mzee, ni rahisi kuliko unavyofikiria. Nakushauri fanya hivi:
1. Anza kwanza kusoma mwenyewe online au kuuliza watu basics. Hii itasaidia utakavyoanza kufundishwa practically at least ujue ata breki ipo wapi
2. Jifunze sheria za barabarani kwa kuwaangalia madereva wanavyofanya au ata ukikaa mataa pale dk 20 utajifunza kitu.
3. Na mwisho, tafuta pesa ufundishwe na professional. Wale wamejua kukupa mwongozo, kufundishwa na mtu ambae ni dereva ila sio mwalimu lawama tu. Mfano, mi nilijaribu kumfundisha mtu nikaishia kumtukana tu maana anarudia kosa ilo ilo mara nyingi na yeye akasusa kwasababu mi sipo gentle.
Nashauri tafuta 200k uende driving school tu, haichukui zaidi ya week 4. Utajifunza theory na barabarani.
Mkuu hakuna haja ya kuzunguka Sana.. mwambie aende Tu kusoma kwenye kilicho karibu yake na Ada yake ni kama Tsh 200,000.Karibu sana mzee, ni rahisi kuliko unavyofikiria. Nakushauri fanya hivi:
1. Anza kwanza kusoma mwenyewe online au kuuliza watu basics. Hii itasaidia utakavyoanza kufundishwa practically at least ujue ata breki ipo wapi
2. Jifunze sheria za barabarani kwa kuwaangalia madereva wanavyofanya au ata ukikaa mataa pale dk 20 utajifunza kitu.
3. Na mwisho, tafuta pesa ufundishwe na professional. Wale wamejua kukupa mwongozo, kufundishwa na mtu ambae ni dereva ila sio mwalimu lawama tu. Mfano, mi nilijaribu kumfundisha mtu nikaishia kumtukana tu maana anarudia kosa ilo ilo mara nyingi na yeye akasusa kwasababu mi sipo gentle.
Nashauri tafuta 200k uende driving school tu, haichukui zaidi ya week 4. Utajifunza theory na barabarani.
Bro una gubu unamtukana mtu kisa kasahau kutoa handbrake brother jitathmini..Karibu sana mzee, ni rahisi kuliko unavyofikiria. Nakushauri fanya hivi:
1. Anza kwanza kusoma mwenyewe online au kuuliza watu basics. Hii itasaidia utakavyoanza kufundishwa practically at least ujue ata breki ipo wapi
2. Jifunze sheria za barabarani kwa kuwaangalia madereva wanavyofanya au ata ukikaa mataa pale dk 20 utajifunza kitu.
3. Na mwisho, tafuta pesa ufundishwe na professional. Wale wamejua kukupa mwongozo, kufundishwa na mtu ambae ni dereva ila sio mwalimu lawama tu. Mfano, mi nilijaribu kumfundisha mtu nikaishia kumtukana tu maana anarudia kosa ilo ilo mara nyingi na yeye akasusa kwasababu mi sipo gentle.
Nashauri tafuta 200k uende driving school tu, haichukui zaidi ya week 4. Utajifunza theory na barabarani.
Yaan, nilimaind sana mzee.. AnakeraaaBro una gubu unamtukana mtu kisa kasahau kutoa handbrake brother jitathmini..
Tupo tofauti katika uelewa mm mwenyewe gari nimejifunzia YouTubeYaan, nilimaind sana mzee.. Anakeraaa
Driving school tunafuata confidence tuTupo tofauti katika uelewa mm mwenyewe gari nimejifunzia YouTube
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.