DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Apr 24, 2023 #1 Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,551 Reaction score 9,522 Apr 24, 2023 #2 Kua mwandishi wa vitabu vya fasihi uza Mkalimani Fundisha tuition
mimi mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 248 Reaction score 539 Apr 25, 2023 #3 Fundisha Kiswahili kwa wageni kama una weza. Pia translation.
Vinci Dayot Upamecano JF-Expert Member Joined Nov 11, 2020 Posts 524 Reaction score 1,288 Apr 26, 2023 #4 Una Elimu gani? Kama ni shahada moja rudi shule ukaongeze angalau shahada ya uzamili halafu urudi hapa!
Una Elimu gani? Kama ni shahada moja rudi shule ukaongeze angalau shahada ya uzamili halafu urudi hapa!
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 Apr 26, 2023 #5 DR HAYA LAND said: Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa. Click to expand... Mkuu wewe ni Swahili lunguist? Unaweza kufanya remote interpretation?
DR HAYA LAND said: Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa. Click to expand... Mkuu wewe ni Swahili lunguist? Unaweza kufanya remote interpretation?