Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

UPDATES
Nashukuru jamani nimeshaipata, ndio hiyo kwa avatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo IT ni tatzo mbna kazi ndogo hiyo...yaani system inahifadhi kila unachokitumia ishu ni kujua kiko wapi kama hujakisave kwa njia ya kawaida.

Tafuta mtu unaemwamini IT mpe password ya account ni jambo dogo Hilo
 
Najua kwa wengine ni kazi ndogo tu hiyo ndio maana nimekuja kuomba msaada mbona unakuwa kama unanizodoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana harusi ndio mzungu? Mimi nakumbuka moja ya mdada mzungu amevaa gauni jeupe
tapatalk_1585171524066.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom