Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

1.PNG

2.PNG
 
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bby mambo mengine ungenitext wasapu tuyamalize
 
Ahadi ni deni naitaka zawadi NONO[emoji39][emoji39][emoji39]
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ahaa! Kumbe,na mimi naomba ile yangu nilikuwa na hasira najichoma kisu kwenye upande wa sikio huku....
 
Back
Top Bottom