Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Wabongo IT ni tatzo mbna kazi ndogo hiyo...yaani system inahifadhi kila unachokitumia ishu ni kujua kiko wapi kama hujakisave kwa njia ya kawaida.

Tafuta mtu unaemwamini IT mpe password ya account ni jambo dogo Hilo
Hiyo it unayozungumzia hapo ni expert level siyo ordinary, usilaumu watu, wengi wetu humu ni basic tu knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

UPDATES
Nashukuru jamani nimeshaipata, ndio hiyo kwa avatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Utahangaika na ma avatar mpk basi ila the best avatar ambayo ilikupendeza ni ile ya mdada anatabasamu, yn ile was the best avatar for you sema ujuagi tu, ni km Davinci anavyosumbuka ku change ma Avatar wkt Avatar yke bora ni ile ya TI km ckosei
 
Mbona sikumbuki
 
Back
Top Bottom