Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake iyo picha inaitwaje tui gugo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna quotes kadhaa kuhusu hilo neno, sema siyo issue sana ila ni interpretations tu nahisi.

Screenshot_20200326-085608_Chrome.jpg
 
Duuh...! Kweli itakuwa sina bahati tu. Nimekutana nayo inaelekea uelekeo wa stand muda si mrefu. Si ningejinyakulia hii zawadi jamani. Ngoja nikacheck kama imeshapanda gar.[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nipambane uipate my love, teamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii hapa haiko hivyo, ila kuna mara kadhaa nilishawahi kukuona umeitumia mahali ambapo ilifit hivyo.

Ila pia inategemea na mind ya mtu.
Hahaha halafu mimi huwa napenda Sana kuitumia kwenye mazingira hayo uliyotaja. Na hasa pale mtu anapoacha kuleta hoja badala yake analeta viroja...na sitoacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo Avatar naona maharusi wote wamevaa sura za kazi, yawezekana ndoa ilianzia ICU ila sasa waishi vizur
 
Back
Top Bottom