Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Naomba mnisaidie kupata avatar yangu ya zamani, zawadi nono itatolewa

Ile ya mdada anatabasamu mnene kiasi Dah kwnn huikumbuki? Hebu weka hapa avatar mbili ulizotumia kabla ya hii ila ziwe za mdada anayetabasam Zen ntakuambia ipi
Likija suala la avatar nitaweka ninayoitaka mimi maana kama nikisikiliza maoni ya watu kila mtu anataja yake
 
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]

UPDATES
Nashukuru jamani nimeshaipata, ndio hiyo kwa avatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio hii
 
Back
Top Bottom