Likija suala la avatar nitaweka ninayoitaka mimi maana kama nikisikiliza maoni ya watu kila mtu anataja yakeIle ya mdada anatabasamu mnene kiasi Dah kwnn huikumbuki? Hebu weka hapa avatar mbili ulizotumia kabla ya hii ila ziwe za mdada anayetabasam Zen ntakuambia ipi
Sawa, ila we hujioni ni watu wanakuonaLikija suala la avatar nitaweka ninayoitaka mimi maana kama nikisikiliza maoni ya watu kila mtu anataja yake
Wakati mwingine ni vyema kufuata kioo kinavyosemaKwa hiyo nitamfuata nani na nani nitampuuza?
SawaNdio nimefuata
Kuzodolewa hakuuiNajua kwa wengine ni kazi ndogo tu hiyo ndio maana nimekuja kuomba msaada mbona unakuwa kama unanizodoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio hiiHapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila juhudi zangu zimegonga mwamba.
Naomba mnisaidie tafadhali ninaihitaji sana.
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
UPDATES
Nashukuru jamani nimeshaipata, ndio hiyo kwa avatar
Sent using Jamii Forums mobile app