Inafaa kabisa mtu kuitwa Malik.
Kwanini mtoto wako hawi Mwislamu kwa jina.Mpe jina la kwenu bado atakuwa Mwislamu. Uislamu ni malezi yako sio jina Kuna wanaitwa Mohamed lakini mwenendo wa maisha yao yanatishaWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Really niceFahad
Kati ya majina mazuriMuite Hamza! Kamwe hutojutia.