Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kwanini mtoto wako hawi Mwislamu kwa jina.Mpe jina la kwenu bado atakuwa Mwislamu. Uislamu ni malezi yako sio jina Kuna wanaitwa Mohamed lakini mwenendo wa maisha yao yanatisha
 
Jina Unique: Jamii Forum

Hakuna mwingine utamsikia akiitwa jina hilo
 
Back
Top Bottom