D dungam New Member Joined Nov 19, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jan 13, 2025 #1 WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 712 Reaction score 1,748 Jan 13, 2025 #2 Kivipi au mimi ndio mzito kuelewa