Nenda arushaNimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6
Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.
1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo.
2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa,
njombe,MBEYA,
5.Kahama, Dodoma. Morogoro.
6.Tanga,
Zanzibar nimefika.
Naomba iwe mikoa Tofauti na pia na vivutio vyake au Sehemu za kwenda kujionea mandhari Tofauti.
Naunga mkono hoja πAu Arusha Moshi Kuna falls,Kilimanjaro,coffee plants Kwa wingi Kuna some cultural bulding
Wa pande izo nn πNaunga mkono hoja π
Ndio twenzetu Serengeti basi πWa pande izo nn π
Ndugu, mikoa uliorodhesha hapo nimefika, nimetoka MBEYA, Sehemu sio muda sana.Nenda mwanza au Musoma mkuu au kama vipi timba Mbeya au kama miyeyusho ingia Dodoma, Kahama au zama Iringa kama unataka vivutio ingia Mtwara, Lindi, Tanga, Masai au Zanzibar huko kuna vivutio kama beach na zaidi ni hayo naimani htakosa pa kwenda kwenye hiyo list
Apana labda sehemu nyingine sio Serengeti na ngorongoro πNdio twenzetu Serengeti basi π
Nenda kwenu kwani huna kwenu?Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6