Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Nipo Japan mm😎Halafu wewe Anastasia uko ughaibuni. Unawezaje kujibishanaje nami hivi kama uko Bongo?
Nipo Japan mm😎Halafu wewe Anastasia uko ughaibuni. Unawezaje kujibishanaje nami hivi kama uko Bongo?
Du! Mie niko UK KisiwaniNipo Japan mm😎
Umenikumbusha Shibuya crossing pale TokyoNipo Japan mm😎
Mmmmmh Ni kweli au Hadithi za Juma na uredi....Hakuna sehemu yenye laana Tanzania kama Moshi particularly Machame. Usichukue binti pale akaja na mtu ukadhani ni kaka au mjomba wake. Wale hawana udugu. Kila mwenye ushawishi anajilia. Ni malayxxx kuliko hata hao wanyatur na wahayxx kusema ule ukweli.
Ni kweli mia kwa mia. Ngoja waamke wanaowajua wengine utasikia muziki wao as far as 'tombing' is concernedMmmmmh Ni kweli au Hadithi za Juma na uredi....
Mentality yangu niliuweka huo mkoa ktk Sehemu ya kwenda kutembea.
1. Hujasema unataka kufurahia kitu gani.Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6
Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.
1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo.
2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa,
njombe,MBEYA,
5.Kahama, Dodoma. Morogoro.
6.Tanga,
Zanzibar nimefika.
Naomba iwe mikoa Tofauti na pia na vivutio vyake au Sehemu za kwenda kujionea mandhari Tofauti.
Bonge la Muongozo nimekuelewa ndugu yangu.1. Hujasema unataka kufurahia kitu gani.
2. Ikiwa unapendezwa na nature nenda...
A) Tanga wilaya Lushoto utafurahia uoto wa asili, view tamu, hali ya hewa tamu kabisa
B) Arusha ( ngorongoro, Arusha national park)
Ngorongoro itakuwa day trip na utalala Karatu.
Arusha national park nayo ni day trip utarudi kulala Arusha mjini au Usariver
Karibu sana tukimakiza twenzetu kupanda mlima KilimanjaroNaja
Aje MBEYANenda mwanza au Musoma mkuu au kama vipi timba Mbeya au kama miyeyusho ingia Dodoma, Kahama au zama Iringa kama unataka vivutio ingia Mtwara, Lindi, Tanga, Masai au Zanzibar huko kuna vivutio kama beach na zaidi ni hayo naimani htakosa pa kwenda kwenye hiyo list
Ukafurahie mkuu.Bonge la Muongozo nimekuelewa ndugu yangu.
Tuseme tu huna na ulizo nazo zina thaman ya heshima ndogo ka ya mtoto😂Ndugu Pesa huwa, ni siri.
Upaswi kusema kiasi cha pesa ulichonacho, inaweza kukuongezea Heshima au kushusha Heshima yako.
Tuwe na hekima ktk Pesa.
Daah mbona umemhukumu usiyemfahamu ndg?Tuseme tu huna na ulizo nazo zina thaman ya heshima ndogo ka ya mtoto😂
Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6
Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.
1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo.
2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa,
njombe,MBEYA,
5.Kahama, Dodoma. Morogoro.
6.Tanga,
Zanzibar nimefika.
Naomba iwe mikoa Tofauti na pia na vivutio vyake au Sehemu za kwenda kujionea mandhari Tofauti.
Hahaa unaogopa kuporomoka? Kama una roho ndogo usithubutu kwenda ngorongoro au serengenti kupitia ngorongoro.Apana labda sehemu nyingine sio Serengeti na ngorongoro 😊