Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

Singida tena uende utembelee sn nje ya mji vijijin huko ukae upge story na watoto wazuri wny miguu kama fito ule ugari na mlenda asali pia ipo.
 
Kigoma au Kagera maana utavuka maana huko unaweza vuka mipaka ukaenda Rwanda, Burundi, Uganda au DRC kama lengo lako ni kujifunza vitu tofauti
 
Njoo Nkasi, kuna utalii wa kutembea na fisi, pia kuna maduka makubwa ya jumla na rejareja yanayouza radi, radi ya bei ya chini ni jero, inaunguza nguo tu we unabaki mzima, ni ya onyo.

Kuna vioski maalumu kwa ajili ya kuuza vichomi. Pale kirando kuna mamba wa tsh 2000, anaweza kutokea bafuni kupiga tukio na kukimbilia ziwani. Karibu sana SUMBI I WANGA
 
Back
Top Bottom