Naomba mnisamehe kwa matusi niliyowatukana sio mimi ni mahaba

Naomba mnisamehe kwa matusi niliyowatukana sio mimi ni mahaba

mbagokizega

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
111
Reaction score
297
za jioni ndugu zangu.

kwa dhati ya moyo wangu naomba mnisamehe wadau wenzangu wa jukwaa hili tunalojadiliana kuhusu mapenzi,urafiki na mahusiano.

mwenzenu Mimi mida hiihii nimetoka ktk kale kamchezo ketu katamutamu ambacho bnadamu mwenye utimamu wa mwili anapokuwa ktk tendo hilo huwa sio yeye kiakili.

saasa katikati ya mchezo beby akawa ananiambia nitukane wanajamiiforum wenzangu ambao huniweka bize kuchat kila saa basi kama mjuavyo mapenzi ni uchizi ndugu yenu mie nkayaporomosha matusi huku nikiwataja majina yenu.

kwakweli baada ya gemu na kuingia tena humu kuperuzi nikiona majina yenu mkipost na kuchangia ktk mada mbalimbali najikuta nikijihisi hatia sababu hakuna niliyemuacha kwa mitusi.

mnisamehe ndugu zangu sio mie ni mahaba.

natumai msamaha wangu utakubaliwa.
wenu mkosaji
 
Karibu sana member. Naona unajaribu kuchangamsha jukwaa. Angalia usimpe mimba binti wa watu ukamtelekeza halafu mwisho wa siku na ww. Unaanza kuwaponda single mother.
ILA KUMBUKA MAPENZI HUWA YA AJABU SANA. HAPO MNACHEKA, MNAKUMBATIANA, MNAGEGEDANA MPAKA UNATUKANA WATU, I LOVE YOU ZINAKUWA NYINGI KM ILE NAKUPENDANA KULIKO WANAWAKE WOTE N.K ILA KUNA WAKATI MNATOKEA KUWA MAADUI KM PAKA NA PANYA. UKIAMBIWA HAWA WALIKUWA WANAPENDANA SANA, UNAWEZA KUKATAA.
Heshimu wanaokuzunguka. Safari bado
 
Mlikuwaa mnafanya MATUSI!?. Hata kama hatuonani mm huwezi nitukana hata siku moja!. Sikubali kabisa!!!!
 
Mmeshamaliza mitihani aah kumbe November mmeshafunga shule ,ndio maana
 
Back
Top Bottom