mbagokizega
Senior Member
- Oct 22, 2016
- 111
- 297
za jioni ndugu zangu.
kwa dhati ya moyo wangu naomba mnisamehe wadau wenzangu wa jukwaa hili tunalojadiliana kuhusu mapenzi,urafiki na mahusiano.
mwenzenu Mimi mida hiihii nimetoka ktk kale kamchezo ketu katamutamu ambacho bnadamu mwenye utimamu wa mwili anapokuwa ktk tendo hilo huwa sio yeye kiakili.
saasa katikati ya mchezo beby akawa ananiambia nitukane wanajamiiforum wenzangu ambao huniweka bize kuchat kila saa basi kama mjuavyo mapenzi ni uchizi ndugu yenu mie nkayaporomosha matusi huku nikiwataja majina yenu.
kwakweli baada ya gemu na kuingia tena humu kuperuzi nikiona majina yenu mkipost na kuchangia ktk mada mbalimbali najikuta nikijihisi hatia sababu hakuna niliyemuacha kwa mitusi.
mnisamehe ndugu zangu sio mie ni mahaba.
natumai msamaha wangu utakubaliwa.
wenu mkosaji