Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Punguza kiherehere kama watoto sio wako je.... ameamua kumpelekea mwenye watoto wake jeUnataka arudi kwa mumewe kwakua unahisi ataishi mazingira magumu na msalaba utawaangukia nyinyi?
Angekua anajimudu usingetaka arudi?
Huyo jamaa ingawa amesema watoto asihusishwe kwa chochote bado sheria inamtaka alee watoto wake. So asidhani hayo maneno ni kinga.
Kwa uzoefu wangu katika ishu ya wanandoa au wazazi usichukue stori hapa na pale kwa kila mmoja kwa wakati wake. Usiwe na prejudice kabisa, futa kila unachotaka kichwani halafu sikiliza hizo scenarios na zitumie kufikia uamuzi