katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Husemi uongo na nimechoka hilooKujiajiri ni bora sana ila uwe na subira kubwa sana. Ila kuajiriwa unakuwa mtumwa wa fikra, matendo na tabia.
True upo mkoa gani??Njoo ufanye kazi kwenye kampuni yangu
Hatutakulana
Nataka kupata mawazo mengine yatakayounga hoja yangu au kubomoaIkiwa jibu unalo unataka usaidiweje sasa??
If you don't mind, njoo tuweke nguvu pamoja tufungue kampuni. Kazi kuu zitakuwa kuuza vyakula, mazao, vipodozi etc.Husemi uongo na nimechoka hiloo
Sio mbaya hii ni idea nzuri sanaIf you don't mind, njoo tuweke nguvu pamoja tufungue kampuni. Kazi kuu zitakuwa kuuza vyakula, mazao, vipodozi etc.
Nimeolewa sasaHalaf nakutamani wewe[emoji848][emoji848]
Lanini?Tangazo limekaa poa
aiseeunakuta bossy anakuwa ananipendaga mimi sana
Lakufikisha ujumbeLanini?
Ndiooo unajua kila mtu anaakili yake na mawazo yake katika kutambua jamboo.Lakufikisha ujumbe
Okay. Karibu PM tuweke mipango sawaSio mbaya hii ni idea nzuri sana
Acha uongo umeolewa lini wakati ulizalishwa na jamaa akakukacha.Nimeolewa sasa