Naomba mnishauri

Naomba mnishauri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Wapendwa muhali gani?

Mimi naomba kuuliza swali.
Kuajiriwa ni bora zaidi au kujiajiri? Najua jibu ila sasa nimechoka nikiajiriwa sidumu kazini na pia ni kwasababu unakuta boss anakuwa ananipendaga mimi sana awe mwanamke au mwanamme. Nakuona najua kazi yangu vizuri zaidi ya wafanyakazi wengine.

Halafu shida ni hii watahakikisha sikai kazini kwa njia yoyote. Sasa mimi nichukue hatua gani? Maana kulea ni kazi nyingine eti usione tu hivyoo. Kuamka kulala na kula sio kazi rahisi
 
Kujiajiri ni bora sana ila uwe na subira kubwa sana. Ila kuajiriwa unakuwa mtumwa wa fikra, matendo na tabia.
 
Halaf nakutamani wewe[emoji848][emoji848]
 
Omba tena kazi halafu acha kujipendekeza kwa mabosi na kuchongea wenzako ili waonekane hawafai,utakaa salama na kwa muda mrefu kazini,swala kuajiriwa au kujiajiri liko wazi kua kujiajiri ni bora zaidi ya utumwa,ajira nzuri ni kilimo
 
Back
Top Bottom