katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wapendwa muhali gani?
Mimi naomba kuuliza swali.
Kuajiriwa ni bora zaidi au kujiajiri? Najua jibu ila sasa nimechoka nikiajiriwa sidumu kazini na pia ni kwasababu unakuta boss anakuwa ananipendaga mimi sana awe mwanamke au mwanamme. Nakuona najua kazi yangu vizuri zaidi ya wafanyakazi wengine.
Halafu shida ni hii watahakikisha sikai kazini kwa njia yoyote. Sasa mimi nichukue hatua gani? Maana kulea ni kazi nyingine eti usione tu hivyoo. Kuamka kulala na kula sio kazi rahisi