Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
ndio nilupokua nina miaka 16 -20 nikua napata marafiki wengi sana . kila watu wananipenda . kila mtu anajipendekeza. shule nilikuwa napendwa sana na walimu. na sifa hizo nishapewa sana na watu takriban wengi.
Asante sana, samahani kama nimekukwaza pia