Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwanza badilika kisaikolojia, jihesabu wewe wa kiume zaidi, anza kunywa dawa za kienyeji za kuongeza nguvu za kiume, acha huo mchezo no matter unawashwa vipi, fanya mazoezi magumu. Muombe mungu. Lakini zaidi badili hata hilo jina lako., mtamu sana ndo nini? Badilika Kichwani