Naomba msaada bila kutukanwa


Nataka kukushauri jambo, naomba nijibu maswali yafuatayo.
1. Unafanya kazi gani kwa sasa.
2. Imani yako? ( dini ).
3. Kiwango cha elimu
4. Hobby zako ( taja kuu tatu)
5. Unapendelea kufanya nini katika muda wako wa ziada au idle time?
 

umeelewa nini kuhusu hiyo post yangu ya mwanzo?
 
Last edited by a moderator:
Sasa kijana kama dushe linafanya kazi kwa hiyo wewe unachimbwa mtaro tu au na wewe unawachimba???

Murudie Mungu tu maana hapo hakuna namna tena. Nenda kanisani inawezEkana wewe una mapepo.
Yaani ukiona papuchi unakosa hamu?? Duh kweli duniani humu,humu kuna watu wana shida na wanahitaji msaada mkubwa
 
Ebu nitafute ninautaalamu na mambo hayo nitafute tuongee
 

Siku nyingine acha kuqoute watu wasiokuwa na time na wewe!halafu acha unafiki
 
Last edited by a moderator:
mods wanafutaga threads za maana ila matangazo ya upuuzi yanapewa promo, mnabahati siwaoni asee mngekula kiatu cha kinywa sasa hivi...
mtu anaeomba ushauri haongei upuuzi wa kujisifu tena,
indirect adveerisement....
 
lakini mie yamekuja haya mambo automatically sikuwa nina act wala sikupata influence ya mtu. wala mimi sijiuzi mie sina shid ya pesa kwetu zipo. hayo matusi yao sijui yanakuwje
Ni kama nakufahamu wewe,umemsumbua sana mama yako,
kama kweli umeamua kubadilika omba msamaha kwanza kwa mama yako mzazi maana umemsumbua sana.

Pili kuwa mpole usikilize ushauri unaopewa, wa kwanza kubali kwamba utabadilisha hiyo ID yako.
Tatu ukitaka Mungu akusaidie sema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa Mungu,
Ushoga ni malezi na wala siyo maumbile,kusema una homone za kike
unataka kuniambia unavaa nguo za kike?
kama jibu ni hapana ulianzaje kutongozwa na wewe ukaingia mkenge? au wewe kwa sababu ya homone zako
ndo ulitongoza wanaume? kama uliwatongoza,hizo siyo homone za kike maana wanawake wa asili hutongozwa na
wala hawatongozi,labda ukiniambia ni homones za kipepo mimi nitakubaliana na wewe.

Nakushauri kaombewe,hilo pepo lazima litakutoka,na hata kama itachukua muda wewe kazana Mungu atakusaidia.
Watafute wachungaji wanaofanya huduma za maombezi.ongea nao watakuombea kisiri wala hawatakutangaza
kama kweli umeamua kubadilika.
 

yaani nilikua naota na tiwa mara kwa mara tangu zamani . asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…