wewe naona unatuchosha tu hapa
kwanza kama ungekua unatakankupata msaada usingejiita MTAMUSANA
pili unacomentig mara kibao kwamba shughuli unaipenda
tatu unajisifiaga mwenyewe mara kibao kwenye nyuzi
HILI NI TANGAZO WEWE BWABWA
maana kama ungekuwa unahitaji msaada usingekiita MTAMSANA
peleka ma.vii mbele laanatullah........
mods wanafutaga threads za maana ila matangazo ya upuuzi yanapewa promo, mnabahati siwaoni asee mngekula kiatu cha kinywa sasa hivi...
mtu anaeomba ushauri haongei upuuzi wa kujisifu tena,
indirect adveerisement....
Ni kama nakufahamu wewe,umemsumbua sana mama yako,
kama kweli umeamua kubadilika omba msamaha kwanza kwa mama yako mzazi maana umemsumbua sana.
Pili kuwa mpole usikilize ushauri unaopewa, wa kwanza kubali kwamba utabadilisha hiyo ID yako.
Tatu ukitaka Mungu akusaidie sema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa Mungu,
Ushoga ni malezi na wala siyo maumbile,kusema una homone za kike
unataka kuniambia unavaa nguo za kike?
kama jibu ni hapana ulianzaje kutongozwa na wewe ukaingia mkenge? au wewe kwa sababu ya homone zako
ndo ulitongoza wanaume? kama uliwatongoza,hizo siyo homone za kike maana wanawake wa asili hutongozwa na
wala hawatongozi,labda ukiniambia ni homones za kipepo mimi nitakubaliana na wewe.
Nakushauri kaombewe,hilo pepo lazima litakutoka,na hata kama itachukua muda wewe kazana Mungu atakusaidia.
Watafute wachungaji wanaofanya huduma za maombezi.ongea nao watakuombea kisiri wala hawatakutangaza
kama kweli umeamua kubadilika.
muombe Mungu sana kaka
na muogope kwa kweli
amini anakuona kila unapoliendea hilo tendo
i hope utaacha nakuombea sana
asante sana sasa kwa daktari ntaanzaje manake aibu.
aibu kwenye tiba??? unataka kupona wewe?? mbona kuwavulia nguo wanaume wenzako huoni aibu
Siku nyingine acha kuqoute watu wasiokuwa na time na wewe!halafu acha unafiki
Hii hapo ndo maelezo ya kwenye profile yake ya JF, doesnt look like someone who wants to stop being gay
Cc Elizabeth Dominic masai dada grafani11
Kwani nani ana time na wewe? Unafiki upi unauzungumzia?
Wewe nashangaa unaleta shobo!sijakutag wala sijakuquote nashangaa umekuja mbio na povu lako,kama unafiki wako hujaujua basi pole na endelea kuwa kituko humu ndani
Wewe nashangaa unaleta shobo!sijakutag wala sijakuquote nashangaa umekuja mbio na povu lako,kama unafiki wako hujaujua basi pole na endelea kuwa kituko humu ndani
Hahahaaa,hapa nimeshapata umbea kweupeeee...lol
Hizi ligi raha sana aisee.
Njoo ufanyiwe maombi,
Njoo uombewe..
ahahaa muone kwanza mwanamke unapenda umbea wewe kama mie
Are you okay? Nimekuuliza kwa faida yako si yangu, maana unanishutumu tu bila mpango. Hii ni sehemu huru kabisa kuqoute na kutoa maoni yangu ninavyoona inafaa. Nairudisha pole kwako
POLE IRUDI KWAKO MARA BILLION MOJ!Sitaki mazoea na wewe maa mbona unajipendekeza?
Unaona sasa ulivyokua mnafiki!?kama unajua hii n sehemu huru kwa kila mtu kutoa mawazo kwa nini unataka watu wakuballi hoja yako?
Kama unahoja yako changia halafu sepa!!ujuaji wako huko kwenu humu ndani hakuna anayekujua!!
NARUDIA TENA!!SITAKI MAZOEA WEWE.
Kwanini unajipa umuhimu usio na maana? Calm down na maisha yaendelee