__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Usijidanganye tuna melanin kiwango kikubwa nawaona wabongo kibao wanaungua uso wanaume Kwa wanawake na angalau wanaume hawapaki lighting cream wale wa lighting cream lotion waungua zaidi akiingia juani anarudi mweusi binafsi nimekuwa sensitive sunscreen nikipaka niki sweat [emoji97] nawashwa ngozi natoka acne nimeacha nikipogwa jua nakuwa mweusi mpaka watu waniambia umekuwa mweusi ila nikitulia ndani nakaa sawa.
Itaisha yenyewe hamna shida__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Bora wewe mkuu, mimi ngozi ilibanduka juu ya mgongo na upande wa forehead.__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Yanikuta ila kwakua mie na rangi light skin nakuwa mweusi natulia zangu sipigwi na jua mpaka nakaa saw na uzuri wa mishe zangu naweza kulala ndani huku natafuta wateja mitandaoni napigwa na jua ijumaa TU napofanya delivery ya Biryani kwa wateja nazunguka na boda sehemu tofauti nikirudi mweusiiiii mpaka mume anishangaaa umekuwaje πnikiamka nakuwa poa.Kwaio unataka kusema hata ww ushawai kuku-kuta hio hali..? Ikaisha yenyewe bila kutumia dawa..?
Yanikuta ila kwakua mie na rangi light skin nakuwa mweusi natulia zangu sipigwi na jua mpaka nakaa saw na uzuri wa mishe zangu naweza kulala ndani huku natafuta wateja mitandaoni napigwa na jua ijumaa TU napofanya delivery ya Biryani kwa wateja nazunguka na boda sehemu tofauti nikirudi mweusiiiii mpaka mume anishangaaa umekuwaje [emoji16]nikiamka nakuwa poa.
Ushauri usivae tena nguo ya wazi kwenye jua.
Mkuu hiyo ni sunburn,huku kwetu bondeni ni kitu cha kawaida pale jua linapokuwa kali sana.Ungekuwa karibu ningekupatia Nivea sun hiyo bure tu.View attachment 2934194
Ndio, sema pia nilibadili mazingira baada ya kutoka sehemu ya baridi nilivyokuja kwenye jua kali ndo hiyo hali ikanitokea ila ilinitesa siku za mwanzo tu baada ya hapo nikawa sawa napiga tu mishe vizuri kwenye jua kali.#Hii ilikutokea baada yakukaa juani..?
Upatikanaji wa huko sijui,sema kukiwa na jua kali kama unafanya mazoezi,unaspry kabla then acha jua lichome.#kwan huku bongo si inapatikana..? Vp matumizi yake yapoje
Ndio, sema pia nilibadili mazingira baada ya kutoka sehemu ya baridi nilivyokuja kwenye jua kali ndo hiyo hali ikanitokea ila ilinitesa siku za mwanzo tu baada ya hapo nikawa sawa napiga tu mishe vizuri kwenye jua kali.
Hiyo ya kwako pia ni kawaida sana ni vile tu mwili una adapt kujikinga na hiyo miale ya ultraviolet, hiyo hali itakaa tu sawa, na kimsingi haikwepeki ukiwa mazingira ya juani kwa muda mrefu usivae vest ni bora uvae longsleeve au ubaki kifua wazi ili kuepuka kuwa na rangi mbili.
Jamaa hana ugonjwa wowote π π
Ndio,watu weupe wanapenda sana kutembea vifua wazi ndiyo maana wanaspry mwili juu yaani kiunoni kuja juu then ingingia juani.Kwaio unaspray sehemu iliobaki wazi sindio..?
Jamaa hana ugonjwa wowote [emoji28][emoji28]
Ni Vile tu Ultraviole..Rays Sio rafiki kwa Ngozi ya mwili wake na ndo maana Sehemu iliyokuwa imefunikwa Imebaki kwenye uhalisia wake..
Na sehemu Iliyokuwa wazi imepata Hyperpigmentation..na hata nikiangalia Oxidative stress iliyosababishwa na mionzi ya UVA and UVB sio Kubwa sana..
Maaana kuna wengine Huwa wanapata Vidonda kabisa.. ambavyo Vinaitwa post-inflammatory hyperpigmentation...
Kukaa juani kufanya kazi juani kwa muda mrefu sio ishara ya ufanyaji bora wa kazi..
Jua kwa sasa ni kali sana tujilinde
Kama atapata Hyperpigmentation cream kuna Moja inaitwa Musely..
Asiache kunywa maji mengi..sana