Naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu

__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
 
Usijidanganye tuna melanin kiwango kikubwa nawaona wabongo kibao wanaungua uso wanaume Kwa wanawake na angalau wanaume hawapaki lighting cream wale wa lighting cream lotion waungua zaidi akiingia juani anarudi mweusi binafsi nimekuwa sensitive sunscreen nikipaka niki sweat [emoji97] nawashwa ngozi natoka acne nimeacha nikipogwa jua nakuwa mweusi mpaka watu waniambia umekuwa mweusi ila nikitulia ndani nakaa sawa.

Kwaio unataka kusema hata ww ushawai kuku-kuta hio hali..? Ikaisha yenyewe bila kutumia dawa..?
 
Ukifanya kazi sehemu za jua kali paka sunblock au sunscreen sehemu zilizo wazi ambazo hazijafunikwa na nguo. Sunscreen/sunblock zinapatikana kwenye pharmacy au maduka makubwa ya vipodozi. Mi nilikuwa mhanga wa hiyo kitu siku hizi hainisumbui tena
 
__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Itaisha yenyewe hamna shida
 
Bora wewe mkuu, mimi ngozi ilibanduka juu ya mgongo na upande wa forehead.
 
Kwaio unataka kusema hata ww ushawai kuku-kuta hio hali..? Ikaisha yenyewe bila kutumia dawa..?
Yanikuta ila kwakua mie na rangi light skin nakuwa mweusi natulia zangu sipigwi na jua mpaka nakaa saw na uzuri wa mishe zangu naweza kulala ndani huku natafuta wateja mitandaoni napigwa na jua ijumaa TU napofanya delivery ya Biryani kwa wateja nazunguka na boda sehemu tofauti nikirudi mweusiiiii mpaka mume anishangaaa umekuwaje 😁nikiamka nakuwa poa.

Ushauri usivae tena nguo ya wazi kwenye jua.
 
Mkuu hiyo ni sunburn,huku kwetu bondeni ni kitu cha kawaida pale jua linapokuwa kali sana.Ungekuwa karibu ningekupatia Nivea sun hiyo bure tu.
20240314_095853.jpg
 
Yanikuta ila kwakua mie na rangi light skin nakuwa mweusi natulia zangu sipigwi na jua mpaka nakaa saw na uzuri wa mishe zangu naweza kulala ndani huku natafuta wateja mitandaoni napigwa na jua ijumaa TU napofanya delivery ya Biryani kwa wateja nazunguka na boda sehemu tofauti nikirudi mweusiiiii mpaka mume anishangaaa umekuwaje [emoji16]nikiamka nakuwa poa.

Ushauri usivae tena nguo ya wazi kwenye jua.

#ahsante kwa ushauri__ila sasa mm kinachonikera zaidi hio sehemu inawasha
 
Zama hizi joto limeongezeka sana utafikiri majua yamekuwa mawili, moja la kukupiga utosi uchakae na jingine la kukuivisha ili mradi usiishi kwa amani. pole sana, next time upake sun screen sijui cream kabla hujaenda kujitosa juani.
 
#Hii ilikutokea baada yakukaa juani..?
Ndio, sema pia nilibadili mazingira baada ya kutoka sehemu ya baridi nilivyokuja kwenye jua kali ndo hiyo hali ikanitokea ila ilinitesa siku za mwanzo tu baada ya hapo nikawa sawa napiga tu mishe vizuri kwenye jua kali.

Hiyo ya kwako pia ni kawaida sana ni vile tu mwili una adapt kujikinga na hiyo miale ya ultraviolet, hiyo hali itakaa tu sawa, na kimsingi haikwepeki ukiwa mazingira ya juani kwa muda mrefu usivae vest ni bora uvae longsleeve au ubaki kifua wazi ili kuepuka kuwa na rangi mbili.
 
Rangi zinakua mbili kama mtoto wanyoka yan (mpaka unaogopa kuvua shati mbele ya mtoto mzuri ) unakua unalala naminguo kama uko vitani yote kuficha mistari
 
Jamaa hana ugonjwa wowote 😅😅
Ni Vile tu Ultraviole..Rays Sio rafiki kwa Ngozi ya mwili wake na ndo maana Sehemu iliyokuwa imefunikwa Imebaki kwenye uhalisia wake..

Na sehemu Iliyokuwa wazi imepata Hyperpigmentation..na hata nikiangalia Oxidative stress iliyosababishwa na mionzi ya UVA and UVB sio Kubwa sana..

Maaana kuna wengine Huwa wanapata Vidonda kabisa.. ambavyo Vinaitwa post-inflammatory hyperpigmentation...

Kukaa juani kufanya kazi juani kwa muda mrefu sio ishara ya ufanyaji bora wa kazi..

Jua kwa sasa ni kali sana tujilinde

Kama atapata Hyperpigmentation cream kuna Moja inaitwa Musely..

Asiache kunywa maji mengi..sana
 
Jamaa hana ugonjwa wowote [emoji28][emoji28]

Ahsante sana doctor mtoto wamama kizimkazi (kwahiyo hiyo nn nifanye __yan nitumie nn kutibu hili __dawa ama niache kukaa juani tatizo litaisha lenyeww
 
I don't know if anyone else has thought the same as me...😂
 
Back
Top Bottom