Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

meck pro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
1,353
Reaction score
2,924
Wakuu habari,

Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.


Asante sana 🙏
 
Panda daladala za kwenda hosp ya Benjamin mkapa Kisha mwambie kondakta wa dala nashukia njia panda ya kwenda ofisi za utumishi ukishuka kunabodaboda au bajaji pale njia panda wambie wakupeleke majengo ya doct. Rose migiro
Asante mkuu
 
Ahaa unaenda ofisini kwao kabisa, hawajatoa venue sehemu ingine? Au wao wenyewe ndio wanakuhitaji
Screenshot_20220621-112712.jpg
 
Back
Top Bottom