Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

Hatari mkuu mwenye hata experience ya maswali asaidie hapa aiseee
Anza kuishi humo kabla wanakuja kukupa muongozo zaidi
 
Wakuu nauliza ivii ukiwak transcript baaad ya deadlinee kuapply vaccany inawez kunisababishia nisiitwe ilaa vingine nip fresh khs vyeti certify vyote

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ungelala guest za karibu na hayo maeneo ukiamka unachukua boda tu au maskani yako ni Dodoma
 
Hapana ninalala sabasaba asubuhi nitachukua boda nione atanicharge bei gan
 
Wakuu nauliza ivii ukiwak transcript baaad ya deadlinee kuapply vaccany inawez kunisababishia nisiitwe ilaa vingine nip fresh khs vyeti certify vyote

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sajafahamu mkuu system inavyofanya kazi ila kama watakua ukituma maombi hapo hapo system inachukua details zote italeta shida mi niliombaga kazi za mwanzo nikiwa cijacertify vyeti nikakosa so kukawa Kuna kazi nyingine hawajaita Bado nikaweka upya certified cheti walipo ita watu interview wakaniambia not shortlisted kwa sababu sikucertify so inaoneka walichukua taarifa mapema kabla cijachange ila kama Bado we sikilizia tu mkuu
 
Wakuu nauliza ivii ukiwak transcript baaad ya deadlinee kuapply vaccany inawez kunisababishia nisiitwe ilaa vingine nip fresh khs vyeti certify vyote

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Unaweza usiitwe ila majina yakitoka kama lako halipo wasiliana nao kuwa ushaweka ...hivyo watakuita kwa kukuweka kwenye majina ya nyongeza
 
Back
Top Bottom