Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

Hiv wadau maswali y oral yanafana kwa candidates wote kwa kada husika au kila mtu anagogwa lake kulingana muuliza swali anavyoona ,alafu hapo juu kuna mdau kasema unapewa kiti ukae sasa hapo mbele yako kuna kuwa na meza au ni kiti tu?maana nipo kwenye maandilizi ya kuandaaa pozi la kukaa huku nikiwang'aza kwenye mijicho yao wale jamaa
 
Kuhusu maswali Sina uhakika ila lazima yawe sawa ndo maana wanachukua simu ili mtu akitoka asiweze kuwambia ambao Bado hawajaingia kuhusu meza hakukuwa na meza ya wewe kutumia ila meza zinakua zimekuzunguka we utaambiwa tu Kaa kwenye kiti hapo unaanza kutwagwa maswali Sasa
 
Asante ndugu
 
Back
Top Bottom