Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

Mkuu angalia tuu uchunguzi wa moto ukanzia kwako.
 
Wakuu habari,

Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.


Asante sana [emoji120]
Mkuu kama una malalamiko au pongezi Ingia emrejesho lila kitu mule.
 
Vip maswali yote yanahusu kada husika au mengne ni yale ya mitego tu?
Moja tu nje ya kada tell us about you self and your education background mengine Kama matano ndani ya kada na presentation juu
 
Interview ya oral ilikua ya lugha gan mkuu? Au unachagua?
 
Hv mchumi namba moja anapendekeza interview zote za kaz z iwe kwa Kiswahili si ilifaa utumishi ndio wapendekeze au imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…