Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

Mshana na wewe unamaruweruwe,🤔
 
wafu hawajui neno lolote
 
Ishu ni kuachana na hiyo laini coz kisheria tu mkeo ana kosa,,sasa mnavyotaka kuchimba tatizo nini ndo huenda mkajikuta kwenye matatizo kabisaaaaa.
 
Kuna kisa huko kenya:
Tajiri mmoja baada ya kufariki ndugu wakataka kuzikwa na simu yake mshindi kipindi hiko.
Kumbe wezi wakapata habari tajiri kazikwa na mali za kutosha.
Baada ya maziko kumalizika usiku wakafukua na kuondoka na kila kitu pamoja na simu.
Mmoja wa wezi kuangalia simu kakuta majina ya familia si ndo kupiga simu kuwa anakuja kuwafata walio sababisha yeye kafa.
Kumbe usiku wanaambiwa asubuhi kuna ndugu katoka kijiji cha mbali kuja kuasalimia na pole,kilichotokea nusu wamzimishe ndugu getini.
 
W
Imetokeaje mkeo akarithi namba ya marehemu wakati hawana undugu?
watanganyika tunapenda kuhifadhi vitu chakavu bila sababu wengi wetu tuna vitu ambavyo tunavyo na hatuvitumii lakini tunaona fahari kuwa navyo. sasa fikiria huyu hata hajui kuwa kuendelea kutumia hiyo namba ni kinyume cha sheria na anaona sawa tu.
 
matatizo ya kutumia tecno,itel na infinix hayo.ujui jina lipo dublicate
Sina hamu na itel zamani kuna siku nipo kwenye ofisi kubwa hapa mjini posta nafanya presentation pale katikakati ya presentation nasikia vikelele vya mahaba mara vinaongezeka vinapungu..

Kimoyomoyo nikajua wale nilikuwa nawafanyia presentation wameacha YouTube ya monitor wazi ingawa nikawa najiuliza wanawezaje kuweka sound kam ile ofcn.

Kidogo sauti ikapanda juu ndio kushtuka hapo hivi natoa simu mfukoni alafu mbele za watu nilihisi aibu sana sikujua saa ngapi simu ile imejitoa password na ikaenda YouTube na kuchagua video mbovu vile..

Siku ilivurugika vibaya sana!
Kiukweli sikuwah kurudi ile ofc tena na ikawa mwanzo mwisho wa kuwa na brand bovu za simu. Nipo makini sana kwenye hili maana yameshanikuta..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…